Na Mwandishi wetu
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2025 unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba, 2025 ni halali kwakuwa umefuata misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria za Uchaguzi.
Mwanasheria Mkuu wa...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
VIONGOZI wa dini nchini wameendelea kuhimiza umuhimu wa kudumisha amani, umoja na uzalendo kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, wakisisitiza kuwa amani ndiyo msingi wa ustawi wa taifa na ibada halisi kwa Mungu.
Wakizungumza leo Jumatatu, Oktoba 27, 2025,...