Na Winfrida Mtoi
Ushindi wa mabao 3-0 ugenini dhidi ya Nsingizini Hotspurs katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, klabu ya Simba imetamba kuwa ni kati ya timu tatu Afrika zenye uhakika wa kucheza hatua ya makundi ya michuano hiyo.
Kauli hiyo imetolewa leo Oktoba 21,2025 na Ofisa...
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
VIONGOZI wa dini mbalimbali mkoani Mwanza, wametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kupiga kura kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, uliopangwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu.
Kadhalika katika kongamano la Amani la Viongozi wa Dini lililofanyika jijini Mwanza, viongozi...