HomeUncategorized

Uncategorized

Kuporomoka majengo: Tuseme hapana kwa majanga ya kujitakia

TANZANIA ni nchi salama sana dhidi ya majanga ya asili kama vimbunga, matetemeko ya ardhi na hata mafuriko. Yako mataifa ambayo majanga ya asili ni ya kila mara. Katika nchi hizo sera na sheria mbalimbali zimebuniwa ili kusaidia jamii kukabiliana na madhara ya majanga...

Rais Samia avaa viatu vya Mwalimu G20

Rio de Janeiro, Brazil RAIS Samia Suluhu Hassan ameyataka mataifa tajiri duniani ya kundi la G20 kutafakari upya namna bora ya kukabiliana changamoto za njaa na umaskini duniani, akirejea msimamo thabiti wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Akizungumza mbele ya wakuu wa nchi na serikali za...
spot_img

Keep exploring

Urathi wa Mwalimu Nyerere usaidie kukubali kukosolewa

JUMATATU wiki hii Watanzania walikumbuka kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliyefariki...

Zanzibar kuanza uboreshaji Daktari la wapiga kura

Na Mwandishi Wetu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar, unatarajiwa kufanyika...

Rais Samia azindua kitabu cha Hayati Sokoine

Na Mwandishi Wetu Rais  Dk. Samia Suluhu Hassan leo Septemba 30, 2024, amezindua Kitabu kuhusu...

Nyundo na wenzake jela maisha

Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha jela na faini ya sh...

Simba yatinga Ikulu Zanzibar, yamkabidhi Rais Mwinyi jezi

Na Mwandishi Wetu Wachezaji wa timu ya Simba, viongozi na benchi la ufundi wamekutana na...

Rais Samia azitaka Halmashauri kutoa huduma bora kwa wananchi

Na Mwandishi Wetu Rais  Dk. Samia Suluhu Hassan, amezitaka Halmashauri kutumia ofisi mpya zinazojengwa katika...

Tanzania yajiweka nafasi nzuri kufuzu Kombe la Dunia kriketi

Na Winfrida Mtoi Timu ya taifa ya kriketi ya wanaume ya Tanzania imeendelea kujiweka katika...

TUTAFAKARI ZAIDI KULINDA HADHI YA NCHI YETU

KUNA vitu Mungu alimkirimu binadamu bure ambavyo anavipata bila jasho. Kwa mfano hewa tunayovuta...

Mbowe akamatwa na Polisi

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limewakamata...

Tulia alipoteza fursa ya kuokolewa uhai wa Kibao

INAWEZEKANA Agosti 27 2024 ilikuwa ni siku ambayo maisha ya Ally Mohamed Kibao yangeokolewa...

Waziri Mkuu: Suala la mazingira liwe ajenda ya Kitaifa

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema suala la uhifadhi wa mazingira liwe...

Milioni 300 zawekezwa kiwanda cha YLM Food Company Limited

Na Grace Mwakalinga SHILINGI milioni 300 zimetumika kuwekeza kiwanda cha YLM Food Company Limited kilichopo...

Latest articles

Kuporomoka majengo: Tuseme hapana kwa majanga ya kujitakia

TANZANIA ni nchi salama sana dhidi ya majanga ya asili kama vimbunga, matetemeko ya...

Rais Samia avaa viatu vya Mwalimu G20

Rio de Janeiro, Brazil RAIS Samia Suluhu Hassan ameyataka mataifa tajiri duniani ya kundi la...

Nyerere’s Footsteps, Samia Urges G20 to Rethink Global Economic Systems

Rio de Janeiro, Brazil President Samia Suluhu Hassan has rekindled the enduring vision of Tanzania’s...

Mjerumani amrithi Gamondi

Na Winfrida Mtoi Yanga imemtangaza kocha Sead Ramovic raia wa Ujerumani kuchukua nafasi ya...