HomeKITAIFA

KITAIFA

 ‘Umimi’ wa viongozi unaua Jumuiya Afrika Mashariki

KATIKATI ya miaka ya 90 wakati mfumo wa vyama vingi unaota mizizi, lilitokea wazo la kuunda ushirika dhabiti miongoni mwa vyama vya siasa vya upinzani, ili kuingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 kwa kishindo katika kukikabili chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Katika juhudi...

Wanafunzi watatu wafariki dunia baada ya kupigwa na radi Dar

Na Mwandishi wetu WANAFUNZI watatu wa Shule ya Msingi Msongola iliyopo eneo la Msongola, wilayani Ilala jijini Dar es Salaam, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema tukio hilo...
spot_img

Keep exploring

Ahukumiwa kufungo  cha  miaka 20 jela kwa shambulio la aibu kwa mtoto

Na Mwandishi Wetu Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, Agosti 18, 2025 imetoa hukumu...

Wauza miwani watakiwa kuzingatia sheria

Na Mwandishi WetuWafanyabiashara ya miwani nchini wametakiwa kizingatia sheria na kuacha kuuza kuholela  ikiwamo...

Prof. Kabudi: Uandishi wa Habari ni taaluma, anayefanya kazi hii lazima wawe na vigezo

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema...

Vyama vya siasa vyakumbushwa kutekeleza Sheria ya Gharama za Uchaguzi

Na Tatu Mohamed  VYAMA vya siasa nchini vimetakiwa kuhakikisha wagombea wao wanazingatia matakwa ya Sheria...

Waandishi wasisitizwa umakini kuelekea uchaguzi mkuu

Na Winfrida Mtoi Wakati Tanzania ikiwa katika mchakato wa uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29,2025,  waandishi...

Elimu ya Nishati Safi ya kupikia yawafikia wanawake mkoani Mbeya

Na Mwandishi Wetu SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na...

Wananchi Manispaa ya Kigoma Ujiji waanza kunufaika na Mradi wa Tactic

Na Mwandishi Wetu, Kigoma WANANCHI katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wameanza kunufaika na mradi wa...

Dawa za kulevya zaingizwa nchini kama mbolea

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imekamata shehena...

VETA yajipanga kushirikiana na Toyota Tanzania kuimarisha mafunzo ya ufundi magari

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imepanga kuimarisha...

Kibonde wa Chama Cha Makini achukua fomu INEC ya kuwania Urais

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa...

INEC yatangaza ratiba ya vyama kuchukua fomu za wagombea wa Urais

Na Mwandishi Wetu TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza ratiba ya kuchukua...

VETA Kihonda yabuni mashine ya kusaga chumvi, kuinua thamani ya zao hilo

Na Tatu Mohamed, Dodoma CHUO cha VETA Kihonda kimebuni mashine mpya ya kusaga chumvi ya...

Latest articles

 ‘Umimi’ wa viongozi unaua Jumuiya Afrika Mashariki

KATIKATI ya miaka ya 90 wakati mfumo wa vyama vingi unaota mizizi, lilitokea wazo...

Wanafunzi watatu wafariki dunia baada ya kupigwa na radi Dar

Na Mwandishi wetu WANAFUNZI watatu wa Shule ya Msingi Msongola iliyopo eneo la Msongola,...

Serikali yawataka Wakurugenzi kuongeza thamani inayopimika katika uwekezaji wa hisa chache

Na Mwandishi wetu SERIKALI imewataka wakurugenzi wa bodi za kampuni ambazo ina umiliki wa...

Tanesco yazindua ndege nyuki (Drones) kuboresha miundombinu ya umeme nchini

📌Ni sehemu ya utekelezaji wa mikakati yake kuimarisha huduma kwa wateja kwa kutumia njia...