Asema ni ndoto ya watanzania,awataka wategemee umeme wa uhakika Asisitiza kazi iliyobaki ni kuimarisha miundombinu ya kuwafikishia wananchi umeme Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Misri kuuzindua rasmi
Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kutegemea kupata...