HomeFeatured

Featured

Mwakinyo ashinda kwa K.O, afichua siri

Na Winfrida Mtoi Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa K.O dhidi ya mpinzani wake Stanley Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano katika raundi mbili. Pambano hilo limemalizika usiku huu katika ukumbi wa Warehouse Masaki, jijini Dar es Salaam. Akizungumzia pambano hilo,...

Mwakinyo kuilipia kisasi Taifa Stars dhidi ya Mnigeria kesho, Furahi apania rekodi

Na Winfrida Mtoi BONDIA wa kimataifa wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, ameweka bayana kuwa pambano lake la kesho dhidi ya Mnaigeria, Stanley Eribo litakuwa la kisasi, huku Hamad Furahisha akitaka kuweka rekodi ya kumchapa Mmalawi Hanock Phiri. Mabondia hao wanatarajia kupanda ulingoni kesho Desemba 26, kuzichapa katika...
spot_img

Keep exploring

Mamlaka za Serikali kichocheo cha Ukiukwaji wa Haki za Binadamu

Na Mwandishi Wetu, Media Brains  Utafiti mpya umebaini kuwa mamlaka za serikali zimekuwa kichocheo kikubwa...

CAG aipa tano PPAA

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles...

Wadau washauri Mjadala wa Kitaifa Kuhusu Haki za Binadamu na Uhifadhi

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Wadau wa kutetea haki za binadamu na utawala bora wamependekeza...

Serikali yapiga marufuku tozo kinyume na sheria kwa wachimbaji wa madini

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Serikali kupitia Wizara ya Madini imepiga marufuku Halmashauri zote nchini...

Rais Ruto akubali yaishe, akataa kutia saini Muswada wa Fedha

Nairobi, Kenya Rais wa Kenya, William Ruto, amekataa kutia saini na ameondoa kabisa muswada wenye...

Uhuru atoa wito kwa viongozi kuwasikiliza wananchi

Nairobi, Kenya Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta, ametoa wito wa amani kufuatia maandamano...

Bunge la Kenya laidhinisha kutumiwa kwa Jeshi, Mahakama yaweka ngumu

Nairobi, Kenya Bunge la Kenya limeidhinisha ombi la Baraza la Ulinzi la kutumiwa kwa Jeshi...

Dimwa kashiba, lazima achafue hali ya hewa

themediabrains.com KUNA mtu kachafua hali ya hewa huko Zanzibar. Huyu si mwingine bali Naibu Katibu...

Biden na Trump: Wagombea Wakongwe zaidi katika historia ya Urais wa Marekani

*Umri ni suala muhimu lisiloweza kuepukika Washington, Marekani Siku ya Alhamisi, Rais wa sasa kutoka chama...

Polisi wakabiliana na waandamanaji mjini Nairobi

Nairobi, Kenya Makabiliano makali yamezuka katikati ya mji Mkuu wa Kenya, Nairobi, baada ya polisi...

Majaliwa: Taasisi za Umma zitumie mifumo ya Kidigital

*Azindua mifumo minne ya kidijiti Serikalini  Na Mwandishi Wetu, Media Brains WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka...

Serikali yasitisha zoezi la ukaguzi wa risiti soko la Kariakoo

Na Mwandishi Wetu, Media Brains SERIKALI imesitisha zoezi la ukaguzi wa risiti za Kielekroniki (EFD)...

Latest articles

Mwakinyo ashinda kwa K.O, afichua siri

Na Winfrida Mtoi Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa K.O...

Mwakinyo kuilipia kisasi Taifa Stars dhidi ya Mnigeria kesho, Furahi apania rekodi

Na Winfrida Mtoi BONDIA wa kimataifa wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, ameweka bayana kuwa pambano lake...

Serikali kuendelea kuwawezesha vijana kijamii, kiuchumi

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel...

Kids Holiday Festival yawavuta mamia ya watoto, CRDB yatumia jukwaa kujenga uelewa wa fedha

Na Mwandishi Wetu BURUDANI na michezo mbalimbali vilitawala Tamasha la Kids Holiday Festival lililowakusanya...