HomeFeatured

Featured

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ukiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Afrika ya shirika hilo, Nicolas Blancher, na kujadili mageuzi yanayotekelezwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) katika kuimarisha utendaji...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754 mwaka 2010 hadi 33,511 mwaka 2025, huku wasichana wenye umri wa miaka 15 hadi 24 wakichangia asilimia 77.7 ya maambukizi mapya yanayotokea katika kundi hilo la vijana. Vijana wa umri huo...
spot_img

Keep exploring

Mkoa wa Morogoro kufanya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura Machi Mosi

Na Mwandishi Wetu TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mzunguko...

Kocha KMC akiri kipigo cha Yanga kiliwaumiza

Na Winfrida Mtoi Kocha Msaidizi wa KMC, John Matambala amefunguka kuwa walipata maumivu makubwa ya...

Shilingi Trilioni 8.2 zatumika kukopesha wanafunzi katika kipindi cha miaka 20

Na Mwandishi Wetu  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya...

Barabara njia nne na sita kujengwa Jijini Dodoma

Na Mwandishi Wetu SERIKALI kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imepanga kupanua Barabara za kuingia...

Tanzania, UNODC kushirikiana kukabili uhalifu unaoathiri Mazingira

Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ofisi ya Umoja...

Muigizaji maarufu Korea Kusini, Kim Sae-ron akutwa amefariki nyumbani kwake

Na Mwandishi Wetu TASNIA ya filamu na burudani Korea Kusini imepata pigo baada ya...

Mkesha Maalum wa kuliombea Taifa kufanyika Februari 28, mwaka huu

Na Mwandishi Wetu KATIKA kuelekea uchaguzi Mkuu mwaka huu, waumini wa Madhehebu mbalimbali nchini...

MINZIRO NA PAMBA YAKE NAWAPIGA TU

Na Mwandishi Wetu Timu ya Pamba Jiji chini ya Kocha Felix Minziro (Majeshi, Baba Isaya)...

Majaliwa azitaka Mamlaka za Mikoa, Taasisi za Elimu kusimamia utekelezaji Sera ya elimu

Na Mwandishi Wetu WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezielekeza mamlaka za mikoa, halmashauri na taasisi za...

Watu watatu wafariki kwa ajali Kimara Stop Over

Na Mwandishi Wetu WATU watatu wafariki na wengine wamejeruhiwa kwenye ajali iliyotokea usiku wa kuamkia...

TMA:JUA LA UTOSI LIMESOGEA

Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema ongezeko la joto katika...

Latest articles

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754...

MRADI WA UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME DEGE KUIMARISHA HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME KIGAMBONI

📌Wafikia Asilimia 90 katika utekelezaji wake 📌 Kukamilika Mwisho wa Mwezi Disemba 2026 Na Mwandishi Wetu...

GBT yaikaribisha BetSasa sokoni, yaitaka kuzingatia maadili

Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (GBT), James Mbalwe ameikaribisha...