Na Mwandishi Wetu
MBUNGE wa Jimbo la Peramiho, Jenista Joakim Mhagama (58) amefariki dunia leo Disemba 11, 2025 jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Spika wa Bunge Mussa Azan Zungu katika kikao cha Bunge, imethibitisha kuondokewa na mbunge huyo aliyehudumu kwa zaidi ya...
JUMANNE wiki hii Watanzania walisherehekea siku ya uhuru wa Tanganyika wengi wakiwa majumbani kwao. Waliitikia wito wa kuwataka kusherehekea siku hiyo ya kukumbuka kuondoka kwa utawala wa kikoloni wa Mwingereza Desemba 9, 1961, wakiwa nyumbani bila shaka ili kusaidia kuepusha kile kilichokuwa kinaelezwa kuwa...