Na Mwandishi Wetu
Mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini, Emmanuel Mathias 'MC Pilipili' amefariki dunia leo, Novemba 16,2025.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Ernest Ibenzi amethibitisha taarifa hizo na kueleza kuwa MC Pilipili amefikishwa hospitalini hapo akiwa tayari amefariki dunia.
Na Tatu Mohamed
JUMLA ya watahiniwa 595,816 wamesajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2025 unaotarajiwa kuanza kesho Oktoba 17, 2025 ambapo kati yao 569,914 ni watahiniwa wa shule na 25,902 ni watahiniwa wa kujitegemea.
Kati ya Watahiniwa wa Shule 569,914 waliosajiliwa mwaka 2025, wavulana ni...