📌 Yasema mradi huo ni ushahidi wa thamani ya kodi za wananchi katika kuchochea maendeleo ya nchi
📌Yahimiza ulipaji wa kodi kwa hiari na wakati kuwezesha utekelezaji endelevu wa miradi mingine inayoendelea nchini
Na Mwandishi Wetu
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imesifu matumizi sahihi ya...
Na Mwandishi Wetu
MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetangaza mpango wa kuongeza idadi ya vyuo vyake kutoka 80 vya sasa hadi 152 ifikapo mwaka 2027, hatua inayotarajiwa kuongeza udahili wa wanafunzi hadi kufikia 250,000 kwa mwaka.
Hatua hiyo inalenga kusogeza huduma...