HomeFeatured

Featured

NEMC yatoa elimu kwa umma kuelekea kilele cha Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri

Na Tatu Mohamed BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeanza kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa usimamizi sahihi wa taka, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri yanayotarajiwa kufanyika Machi 30...

Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewaaga vijana 521 waliopata fursa za ajira nje ya nchi, hatua inayotajwa kuwa ni muendelezo wa juhudi za makusudi za kupanua wigo wa ajira kwa vijana na kuwajengea uwezo wa kushiriki katika uchumi wa kimataifa. Akizungumza katika hafla ya kuwaaga vijana hao...
spot_img

Keep exploring

Dk. Biteko: Kila Mtanzania atunze na kuhifadhi mazingira

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

Kansa ya mizozo ndani ya vyama imeitafuna ANC

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na utamaduni wa kualika vyama rafiki kuhudhuria katika mikutano...

Katibu madini, Kamishna wa mafuta, gesi wapewa maagizo

Na Ramadhan Hassan,Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amemuagiza Katibu Mkuu...

Ndoa ya Tanesco na Songas kutamatika Julai mwaka huu

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Serikali imesema kuwa mkataba wa ununuzi wa umeme kati ya...

PPAA kuanza kutumia kanuni za rufani Julai 2024

Na Mwandishi Wetu, Mediqa Brains Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imejipanga kuanza...

Tanzania mwenyeji mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika

Na Winfrida Mtoi Tanzania imepata fursa ya kuandaa mkutano wa Baraza la Amani na Usalama...

Majaliwa: Vyombo vya habari vijiepushe na taarifa za uchochezi

Na Mwandishi Wetu, Media Brains WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zinazohusika na usimamizi wa...

Mtu mmoja afariki katika ajali ya ndege ya shirika la ndege la Singapore kutoka London

Bangkok, Thailand Mtu mmoja amefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa leo wakati ndege ya shirika...

FCS, Vodacom Foundation wasaini makubaliano kuelekea Wiki ya AZAKI

Na Mwandishi Wetu, Media Brains Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), na  Vodacom...

Burundi kuendelea kuwatuma wagonjwa wa moyo kutibiwa JKCI

Na Mwandishi Maalumu, Dar es Salaam Wataalamu wa afya kutoka nchini Burundi wametembelea Taasisi ya Moyo Jakaya...

IMF yaridhishwa na namna Tanzania inavyotekeleza Mpango wa ECF

Na Benny Mwaipaja, Arusha Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amelihakikishia Shirika la...

Mafuriko Kenya: KHRC yawashtaki mawaziri watatu kwa uzembe

Nairobi, Kenya Tume ya Haki za Binadamu nchini Kenya (KHRC) imethibitisha siku ya Ijumaa kuwa...

Latest articles

NEMC yatoa elimu kwa umma kuelekea kilele cha Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri

Na Tatu Mohamed BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeanza kutoa...

Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewaaga vijana 521 waliopata fursa za ajira nje ya nchi, hatua...

Naibu Waziri wa Nishati akabidhi vitendea kazi Kwa Tanesco Mkoa wa Shinyanga

📌Ni katika muendelezo wa mkakati wa shirika wa kuwahudumia wananchi kwa ufanisi 📌Awasihi wananchi kutumia...

Matendo ya Polisi ni hujuma dhidi ya utawala bora, demokrasia

MFUMO wa uchumi wa soko huru una kanuni zake. Miongoni mwake ni kuruhusu ushindani....