HomeFeatured

Featured

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ukiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Afrika ya shirika hilo, Nicolas Blancher, na kujadili mageuzi yanayotekelezwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) katika kuimarisha utendaji...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754 mwaka 2010 hadi 33,511 mwaka 2025, huku wasichana wenye umri wa miaka 15 hadi 24 wakichangia asilimia 77.7 ya maambukizi mapya yanayotokea katika kundi hilo la vijana. Vijana wa umri huo...
spot_img

Keep exploring

IST Festival yatumika kunadi mitaji nafuu kwa vijana

Na Mwandishi Wetu TAMASHA la IST Festival lililofanyika jana Februari 14, 2026 kwenye viwanja...

Taliss – IST Swimming Championships yawavuta wenye mahitaji maalumu

Na Winfrida Mtoi MASHINDANO ya mchezo wa kuogelea 'Taliss -IST Championship' yameanza leo Februari 14,...

CRDB na Costech watenga Sh. Bilioni 4.6 kuwezesha mitaji kwa vijana wabunifu

Na Mwandishi Wetu WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia TUME ya Sayansi na...

Wanahabari watakiwa kuweka usawa katika uandishi wa mabadiliko ya tabianchi

Na Tatu Mohamed MWAKILISHI wa kimataifa kutoka ActionAid International, Teresa Anderson, amesema ipo haja...

Dkt. Mwigulu aweka jiwe la Msingi Mradi wa Umeme Mkata

Ni ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme chenye uwezo wa MVA 60 📌Mradi...

Ithibati yatajwa kuimarisha uaminifu wa Sekta ya Habari na Uchumi wa Vyombo vya Utangazaji

Na Mwandishi Wetu BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema utekelezaji wa mfumo...

Tunasogeza huduma za kisheria karibu zaidi na wananchi- Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Na Mwandishi Wetu MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari ametoa wito kwa wananchi...

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na Ukimwi yaipongeza TMDA

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumubya Bunge ya Afya na Masuala ya...

Serikali yatenga Bilioni 13 kuwezesha ujenzi wa ofisi za TMA

Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile, ametembelea ujenzi wa...

Nishati ya umeme inachochea kasi ya Maendeleo mkoani Singida- Meya Singida

📌Afungua kikao kazi kati ya TANESCO na viongozi wa Serikali za Mitaa, Kata na...

Suluhisho la kusambaza taarifa za Hali ya Hewa kwa wakati kwa wakulima lajadiliwa

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kwa kushirikiana na Norges...

Dkt. Mwigulu ataka ushirikiano wa kikanda kwenye mapambano dhidi ya saratani

▪Asisitiza Tanzania itaendelea kuwa kituo bora cha ushirikiano wa kikanda na Afrika ▪Asema shilingi bilioni...

Latest articles

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754...

MRADI WA UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME DEGE KUIMARISHA HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME KIGAMBONI

📌Wafikia Asilimia 90 katika utekelezaji wake 📌 Kukamilika Mwisho wa Mwezi Disemba 2026 Na Mwandishi Wetu...

GBT yaikaribisha BetSasa sokoni, yaitaka kuzingatia maadili

Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (GBT), James Mbalwe ameikaribisha...