HomeFeatured

Featured

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ukiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Afrika ya shirika hilo, Nicolas Blancher, na kujadili mageuzi yanayotekelezwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) katika kuimarisha utendaji...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754 mwaka 2010 hadi 33,511 mwaka 2025, huku wasichana wenye umri wa miaka 15 hadi 24 wakichangia asilimia 77.7 ya maambukizi mapya yanayotokea katika kundi hilo la vijana. Vijana wa umri huo...
spot_img

Keep exploring

Majaliwa aitaka Tarura kuwasimamia wakandarasi binafsi 

Na Mwandishi Wetu  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini...

AJALI YAAHIRISHA MCHEZO WA SIMBA, DODOMA JIJI

Na Mwandishi Wetu Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imeahirisha   mchezo Ligi Kuu Tanzania...

Dkt. Ntuli ashinda Ukurugenzi Mkuu wa ECSA-HC

Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI wa Kinga wa Wizara ya Afya kutoka Tanzania Dkt. Ntuli...

Serikali yachukua hatua kuongeza upatikanaji wa dhahabu ghafi kwa Geita Gold Refinery (GGR)

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema kuwa, Serikali ya Tanzania inatambua kuwa...

Asakwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kumuua mzazi mwenzie

Na Mwandishi Wetu JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamsaka Abdallah Mohammed (40), fundi...

Tume yatoa neno kwa waendesha vifaa vya BVR Tanga na Pwani

Mwandishi wetu, Tanga TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka waandishi wasaidizi na...

Rais Mwinyi azindua Kituo cha ukaguzi wa vyombo vya moto

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt....

Wahandisi nchini wametakiwa kufanyakazi kwa kuzingatia maadili

Na Mwandishi Wetu WAHANDISI nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu na uwajibikaji kazini. Wito...

Waziri Chana afungua onesho la wiki ya ubunifu wa Italia

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dkt. Pindi...

Mkandarasi anayejenga Barabara za Tactic Morogoro atakiwa kukamilisha kazi ndani ya miezi mitatu

Na Mwandishi Wetu, Morogoro NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali...

CCM yamfukuza aliyepinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee Urais

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemfukuza uanachama kada...

Madini ya Tanzanite kuuzwa kwenye masoko ya ndani, nje ya Mirerani

📍Ujenzi wa Kiwanda cha Kusafisha Chumvi Nangurukuru – Kilwa Waendelea Na Mwandishi Wetu, Dodoma NAIBU Waziri...

Latest articles

OTR na IMF zajadili utendaji wa taasisi za umma

Na Mwandishi Wetu MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe wa Shirika la Fedha...

MAAMBUKIZI MAPYA YA VVU YAPUNGUA KUTOKA 98,754 HADI 33,511

Na Tatu Mohamed MAAMBUKIZI mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini yamepungua kutoka watu 98,754...

MRADI WA UPANUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME DEGE KUIMARISHA HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME KIGAMBONI

📌Wafikia Asilimia 90 katika utekelezaji wake 📌 Kukamilika Mwisho wa Mwezi Disemba 2026 Na Mwandishi Wetu...

GBT yaikaribisha BetSasa sokoni, yaitaka kuzingatia maadili

Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (GBT), James Mbalwe ameikaribisha...