HomeKITAIFA

KITAIFA

Mwanamke ashikiliwa  Polisi kwa  kumuua mume wake na kumfukia ndani ya nyumba yao

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Matha Japheth (44), kabila ni Mnyamwezi , Mkulima Mkazi wa Kitongoji cha Mzalendo Kijiji cha Mawemeru , Kata ya Nyarugusu Wilaya ya Geita kwa tuhuma za kumuuwa mume wake...

Padre aliyepotea apatikana akiwa hai

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limefanikiwa kumpata Padre Camillus Nikata wa Jimbo Kuu la Songea, ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT) - Mwanza, aliyeripotiwa kupotea mnamo Oktoba 09, 2025.Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 17,2025...
spot_img

Keep exploring

PBA yapinga uamuzi wa TLS kuzuia msaada wa kisheria kwa wananchi

Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Mawakili wa Serikali (PBA) kimepinga vikali hatua ya Chama cha...

TARURA kushirikiana na Kampuni ya Sukari Kilombero kufanya matengenezo ya Barabara

Na Mwandishi Wetu WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kushirikiana na...

THBUB yawaasa waandishi wa habari kuelekea uchaguzi mkuu

Na Mwandishi Wetu TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imewaasa waandishi wa...

Watumishi Wizara ya Nishati wapatiwa elimu ya matumizi sahihi ya Nishati Safi ya kupikia

Na Mwandishi Wetu WATUMISHI wa Wizara ya Nishati leo wamepata elimu ya matumizi...

Fahad Soud ajinyakulia IST kupitia Simbanking ya CRDB

Na Mwandishi Wetu MKAZI wa Jiji la Tanga, Fahad Soud, ameibuka mshindi wa pili wa...

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali waridhishwa na kasi ya utekelezaji Bwawa la Kidunda

Na Mwandishi Wetu OFISI ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wametembelea mradi wa ujenzi wa...

Vijana wahimizwa kuendelea kulinda amani

Na Tatu Mohamed VIJANA nchini wametakiwa kuhakikisha wanalinda na kuendeleza amani iliyopo kwa kuwa wao...

Serikali ya Austria kufadhili miradi ya umeme Tanzania

Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Austria kupitia Benki ya UniCredit imeahidi kuipatia fedha...

NIDA yawasajili watu wenye mahitaji maalum Temeke

Na Tatu Mohamed KATIKA kuadhimisha Siku ya Utambulisho Duniani, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)...

Mkurugenzi Mkuu Dawasa Mtaa kwa Mtaa kukagua huduma za maji

Na Mwandishi Wetu AFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira...

CRDB Foundation na GIZ wazindua mradi wa Ajira Ye2, kuzalisha zaidi ya ajira 500

Na Mwandishi Wetu TAASISI ya CRDB Bank Foundation kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la...

Taasisi za Umma zapitisha maazimio tisa ya kuimarisha ufanisi

Na Mwandishi Wetu ZAIDI ya Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma 650...

Latest articles

Mwanamke ashikiliwa  Polisi kwa  kumuua mume wake na kumfukia ndani ya nyumba yao

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina...

Padre aliyepotea apatikana akiwa hai

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limefanikiwa kumpata Padre Camillus Nikata wa Jimbo...

Waangalizi wa Uchaguzi watakiwa kutoingilia mchakato wa Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi wetu, Dodoma WAANGALIZI wa Uchaguzi wa ndani na wa kimataifa wametakiwa kuzingatia sheria...