Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Lukuvi (70) amefariki dunia saa 1:00 asubuhi ya leo Jumatano, Machi 25, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma.Kifo hicho kimetangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia...
Na Mwandishi Mbeya
TANZANIA imepiga hatua muhimu katika kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Marekani baada ya Serikali na Panda Hill Tanzania Limited kusaini makubaliano ya kuendeleza Mradi wa Niobium wa Panda Hill---hatua inayolenga kuifanya Mbeya kuwa kitovu cha uzalishaji na usindikaji wa madini mkakati.
Kupitia mradi...
Na Mwandishi Wetu
Mwamuzi wa Tanzania ,Ahmed Arajiga ni miongoni mwa waamuzi wa wameteuliwa kuchezesha michuano ya CHAN yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi...