HomeFeatured

Featured

Serikali kuendelea kuwawezesha vijana kijamii, kiuchumi

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka amesema Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuimarisha utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana ya mwaka 2007, toleo la 2024, kwa kuzingatia maeneo 13 ya...

Kids Holiday Festival yawavuta mamia ya watoto, CRDB yatumia jukwaa kujenga uelewa wa fedha

Na Mwandishi Wetu BURUDANI na michezo mbalimbali vilitawala Tamasha la Kids Holiday Festival lililowakusanya mamia ya watoto wakati wa likizo, huku likiwa jukwaa muhimu la kuwajengea watoto uelewa wa masuala ya fedha, uchumi na ujasiriamali tangu wakiwa katika umri mdogo. Tamasha hilo, ambalo Benki ya...
spot_img

Keep exploring

CCM yamtema Luhaga Mpina

Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, hatakuwa miongoni mwa wanaowania ubunge kupitia...

Gambo aenguliwa, CCM yateua watia nia saba kura za maoni Arusha Mjini

Na Mwandishi Wetu KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imewateua watia nia saba kuingia...

Ofisi ya Msajili wa Hazina yalenga kukusanya Sh2 trilioni

Na Mwandishi Wetu OFISI ya Msajili wa Hazina (OMH) imejiwekea lengo la kukusanya kiasi...

Watendaji wakuu taasisi za umma wapewa maagizo sita kuboresha ufanisi

Na Mwandishi Wetu WATENDAJI wakuu wa taasisi za umma wamepatiwa maagizo sita (6) yenye...

Kigogo Chadema atimkia Chauma

Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kimeendelea kuvunja ngome ya Chama...

Dkt. Matarajio Maslahi mapana ya Nchi yanazingatiwa utekelezaji wa Mradi wa EACOP

Na Mwandishi Wetu NAIBU Katibu Mkuu anayeshughulikia Sekta ya Mafuta na Gesi Wizara ya...

Dkt. Biteko: Tunaweza kuzuia asilimia 80 ya vifo nchini tukibadili mtindo wa maisha

Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko...

Mwinjilisti awatoa hofu watanzania kuhusu uchaguzi mkuu, kuhubiri kesho Temeke

Na Winfrida Mtoi Mwinjilisti wa Kanisa la EAGT, Mwanza, Diana Dionizi amewatoa hofu watanzania kuelekea...

Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 29, Wapiga Kura milioni 37 wajiandikisha

Na Mwandishi Wetu OKTOBA 29, 2025 ndio siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge...

Gavana Tutuba azindua Jarida la Uchumi Wetu, Toleo Namba 1

Na Mwandishi Wetu GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba, amezindua rasmi Jarida la...

‘Dar Boxing Derby’ unaambiwa ulingo utatitia Leders Club kesho

Na Winfrida Mtoi Hatimaye ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wadau, wapenzi wa ngumi...

Taifa Stars yawekewa bilioni moja CHAN

Na Winfrida Mtoi  Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeahidiwa kiasi cha fedha  shilingi...

Latest articles

Serikali kuendelea kuwawezesha vijana kijamii, kiuchumi

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel...

Kids Holiday Festival yawavuta mamia ya watoto, CRDB yatumia jukwaa kujenga uelewa wa fedha

Na Mwandishi Wetu BURUDANI na michezo mbalimbali vilitawala Tamasha la Kids Holiday Festival lililowakusanya...

Mambo: Demokrasia haijengwi kwa mashinikizo, vitisho

Na Mwandishi Wetu ALIYEKUWA Mgombea wa Bavicha Taifa, Masoud Mambo amesema kuwa demokrasia ya...

Serikali yaahidi kuimarisha uwezeshaji wa Makundi Maalum kupitia ajenda ya Maendeleo Jumuishi

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt....