HomeFeatured

Featured

Ndejembi ataka Ewura kukagua maghala ya mafuta kuhakikisha hakuna mafuta yanayofichwa

📌Asema nchi ina usalama mkubwa wa mafuta hivyo wananchi waendelee kupata huduma muda wote 📌Timu maalum kuundwa kufuatilia uingizaji wa mafuta nchini Na Mwandishi wetu WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kuhakikisha kuwa, hakuna mfanyabiashara anayeficha...

Tanesco yagusa mioyo ya watoto wenye mahitaji maalum

📌Ni sehemu ya uwajibikaji wake kwa jamii 📌Yatoa misaada mbalimbali kwa vituo vitatu Dar es Salaam KATIKA kuendeleza dhamira ya uwajibikaji kwa jamii, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), tarehe 19 Machi 2026, lilifanya ziara ya kutembelea vituo vitatu vya watoto wenye mahitaji maalum jijini Dar...
spot_img

Keep exploring

Rasmi Kocha Yanga afungashiwa virago usiku

Na Mwandishi Wetu Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja mkataba na Kocha Mkuu, Romain Folz. ...

Mwanamke ashikiliwa  Polisi kwa  kumuua mume wake na kumfukia ndani ya nyumba yao

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina...

Padre aliyepotea apatikana akiwa hai

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limefanikiwa kumpata Padre Camillus Nikata wa Jimbo...

Waangalizi wa Uchaguzi watakiwa kutoingilia mchakato wa Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi wetu, Dodoma WAANGALIZI wa Uchaguzi wa ndani na wa kimataifa wametakiwa kuzingatia sheria...

Serikali yajipanga kuzalisha vijana wenye ujuzi na ubunifu kukidhi soko la ajira

Na Tatu Mohamed SERIKALI imesema itaendelea kuhakikisha vijana wa Kitanzania wanapata elimu na mafunzo ya...

Washindi wa Piku Afrika waeleza furaha yao baada ya kujinyakulia zawadi nono mtandaoni

Na Mwandishi Wetu WASHINDI wawili wa promosheni ya Piku Afrika, jukwaa la kidijitali linaloendesha minada...

EWURA yatoa rai kuhusu vibali vya ujenzi wa Vituo vya Mafuta

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa...

TRA yakusanya Trilioni 8.97 kwa robo ya kwanza, yazidi lengo kwa asilimia 106.3

Na Mwandishi Wetu  MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza mafanikio ya makusanyo ya mapato kwa...

Rais Samia awapiga chini mabosi Mwendokasi

Na Mwandishi Wetu, The Media Brains Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa mabosi wapya...

Jamii yatakiwa kupaza sauti kukomesha ukatili wa kijinsia

Na Tatu Mohamed JAMII imetakiwa kuendelea kupaza sauti kwa pamoja ili kutokomeza ukatili wa kijinsia...

Latest articles

Ndejembi ataka Ewura kukagua maghala ya mafuta kuhakikisha hakuna mafuta yanayofichwa

📌Asema nchi ina usalama mkubwa wa mafuta hivyo wananchi waendelee kupata huduma muda wote 📌Timu...

Tanesco yagusa mioyo ya watoto wenye mahitaji maalum

📌Ni sehemu ya uwajibikaji wake kwa jamii 📌Yatoa misaada mbalimbali kwa vituo vitatu Dar...

 ‘Umimi’ wa viongozi unaua Jumuiya Afrika Mashariki

KATIKATI ya miaka ya 90 wakati mfumo wa vyama vingi unaota mizizi, lilitokea wazo...

Wanafunzi watatu wafariki dunia baada ya kupigwa na radi Dar

Na Mwandishi wetu WANAFUNZI watatu wa Shule ya Msingi Msongola iliyopo eneo la Msongola,...