Ukitafakari vema safari ya umri wa taifa letu, yapo mambo kadhaa yanayojitokeza yakiashiria kwamba huenda kuna mahali tuliruka hatua, au tulikwepa kujenga wajibu wetu wa kitaifa. Ni kama vile kwa kitambo sasa kumekuwa na mkakati wa makusudi wa ama kupuuza kupitia hatua husika kwa...
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2026/2027, akiainisha vipaumbele katika sekta ndogo ya umeme kuwa ni pamoja na kuhakikisha upatikanaji wa umeme wa uhakika kwa ajili ya...