Na Mwandishi Wetu
JESHI la Polisi nchini limesema kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama litaendelea kuimarisha hali ya usalama nchini na kulinda maisha ya wananchi na mali zao, huku likionya wale wanaondelea kuhamassha maandamano.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi la...
Na Mwandishi Wetu
KATIKA kuadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika, Watanzania wametakiwa kukumbuka siku hiyo kwa misingi ya haki, amani, mshikamano na umoja wa kitaifa, huku wakiepuka mivutano yoyote inayoweza kugawanya taifa, ikiwemo migawanyiko ya kidini, kikabila au kisiasa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam,...