Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya Taifa Gas imetangaza kuwa haitapandisha bei ya gesi ya majumbani (LPG), licha ya ongezeko la takribani asilimia 43 la bei ya nishati hiyo katika soko la kimataifa.
Uamuzi huo unalenga kulinda watumiaji dhidi ya athari za mabadiliko ya bei duniani...
Na Mwandishi Wetu
Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) wa Dk. James Andilile Mwainyekule.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliyotolewa leo Aprili 2, 2026, Dk. Mwaiyukule atapangiwa...