Na Mwandishi wetu, Arusha
SERIKALI imetoa maelekezo nane ya kimkakati yanayolenga kuimarisha utendaji wa kampuni ambazo ina umiliki wa hisa chache, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuharakisha safari ya Tanzania kuelekea hadhi ya nchi ya kipato cha kati cha juu kama ilivyo ainishwa...
📌 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini yakagua Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme Mpomvu Geita
📌 Yaridhishwa na uwekezaji wa Serikali katika kuimarisha miundombinu ya umeme
📌 Serikali kuendelea kuboresha usambazaji wa umeme kukidhi mahitaji ya sekta ya madini na shughuli za...