Na Mwandishi Wetu
Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja mkataba na Kocha Mkuu, Romain Folz.
Uamuzi huo umekuja saa chache baada ya kupoteza mchezo kwa kufungwa ugenini na Silver Strikers bao 1-0 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo...