MFUMO wa uchumi wa soko huru una kanuni zake. Miongoni mwake ni kuruhusu ushindani. Ushindani kwenye kila uwanda. Ni mfumo unaotaka kile kinachostawi na kutamalaki kitokane na juhudi ya kazi bora, kujitoa na kuwekeza ili umma uamue.
Kwa mfano, soko huru halipaswi kuzuia mwenye nia...
Na Tatu Mohamed
SERIKALI imetoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaojihusisha na vitendo vya kuficha mafuta kwa lengo la kuyauza kwa bei ya juu baadaye, ikisisitiza kuwa haitasita kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kuvuruga utaratibu wa soko.
Akizungumza wakati wa ziara katika maghala ya kuhifadhia mafuta...