Na Mwandishi Mbeya
TANZANIA imepiga hatua muhimu katika kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Marekani baada ya Serikali na Panda Hill Tanzania Limited kusaini makubaliano ya kuendeleza Mradi wa Niobium wa Panda Hill---hatua inayolenga kuifanya Mbeya kuwa kitovu cha uzalishaji na usindikaji wa madini mkakati.
Kupitia mradi...
📌Asema nchi ina usalama mkubwa wa mafuta hivyo wananchi waendelee kupata huduma muda wote
📌Timu maalum kuundwa kufuatilia uingizaji wa mafuta nchini
Na Mwandishi wetu
WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kuhakikisha kuwa, hakuna mfanyabiashara anayeficha...