Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mahakamani Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi ya uhaini, kutokana na sababu za kiusalama.Leo Novemba 10, 2025 Lissu alitarajiwa kufikishwa katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam mbele...