Taifa Stars ya Gamondi amrejesha Kelvin John

Na Mwandishi Wetu

Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars Miguel Gamondi amemrudisha katika kikosi mshambuliaji Kelvin John, anayechezea Aalborg BK ya Denmark ambaye mara ya mwisho  kuitwa katika kikosi hicho ilikuwa Machi, 2025.

Kelvin ni kati ya nyota wa Tanzania wanaofanya vizuri nje ya nchi hasa katika ufungaji mabao, hivyo anaungana na wachezaji wengine 22 kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa kalenda ya FIFA dhidi ya Kuwait utakaochezwa Novemba 14 jijini Cairo, Misri.

Gamondi ambaye ni Kocha Mkuu wa Singida Bs, pia aliwahi kuhudumu Yanga kwa mafanikio, amepewa majukumu ya kuinoa Taifa Stars baada ya Shirikisho la Soka (TFF) kuvunja mkataba na Hemed Suleiman ‘Morocco’.

spot_img

Latest articles

TANESCO YABORESHA MAISHA YA WAFANYAKAZI NYUMBA YA MUNGU

📌 Nyumba za wafanyakazi zakarabatiwa, kuboresha utendaji wa kazi 📌 Mtambo wa kisasa wa kuchakata...

KATAMBI ATOA ONYO KWA MAKUNDI YA ULINZI YASIYO RASMI

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa onyo kwa...

Watumishi OTR wapatiwa mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa Ubora

Na Mwandishi wa OTR OFISI ya Msajili wa Hazina (OTR) imeendelea na hatua za kuimarisha...

MRADI WA UMEME MPOMVU – GGM KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME NA KUCHOCHEA SHUGHULI ZA KIUCHUMI GEITA – MHE. SALOME

📌 Kukamilika kwa njia mpya kutatoa fursa kwa njia ya awali kuendelea kunufaisha wananchi...

More like this