Na Mwandishi Wetu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kufanya maboresho zaidi ya mazingira ya biashara na uwekezaji ili kuifanya Tanzania iendelee kuwa sehemu salama zaidi ya uwekezaji.
Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Alhamisi, Aprili 3, 2025, wakati wa uzinduzi wa Maandalizi ya Mpango wa...
Na Mwandishi Wetu
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, SACP Richard Abwao amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limemuachia Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe kwa dhamana baada ya kukamatwa kwa saa kadhaa usiku wa kuamkia leo kwa madai ya kutoa kauli chafu...