HomeNyuma ya Pazia

Nyuma ya Pazia

Taifa Stars ya Gamondi amrejesha Kelvin John

Na Mwandishi Wetu Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars Miguel Gamondi amemrudisha katika kikosi mshambuliaji Kelvin John, anayechezea Aalborg BK ya Denmark ambaye mara ya mwisho  kuitwa katika kikosi hicho ilikuwa Machi, 2025. Kelvin ni kati ya nyota wa Tanzania wanaofanya vizuri nje...

‘Hali ya huduma ya maji Dar, Pwani ni shwari’

Na Mwandishi Wetu WAKAZI mbalimbali wa Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani wameridhishwa na hali ya huduma ya maji katika maeneo yao inayozidi kuimarika na hawana hofu juu ya usalama wa huduma hii. Upatikanaji huo wa maji unaoridhisha ni mkakati wa Mamlaka...
spot_img

Keep exploring

Jengo makao makuu ya mahakama liongeze kasi, ari ya upatinakaji haki

JUMAMOSI ya wiki iliyopita, yaani Aprili 5, 2025 kuna jambo kubwa lilitokea jijini Dodoma....

Bado watu wanapotea, yu wapi wa kuzuia hali hii?

ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dk. Benson...

Makalla aisaidie Polisi, Wizara ya Afya kuhami Watanzania

TANZANIA ilipata kushuhudia wanasiasa wasiotabirika, wenye kauli za kuchanganya na hadaa nyingi. Wapo ambao...

Mgombea binafsi ameingilia mlango wa nyuma

YAMEKUWAPO mapendekezo mengi ya kuboresha mfumo wa kuendesha siasa za Tanzania kwa kitambo sasa....

Umeme wa nje: Tutaepuka vipi vipigo vya nyuma?

Mwanzoni mwa wiki hii iliibuka habari kubwa iliyotokana na tamko la Rais wa Jamhuri...

Tujiruhusu kufikiri kwa upya, tuache ulegevu

JUMATATU wiki hii nilipata wasaa wa kuingia katika mazingira kilipokuwa kiwanda cha nguo cha...

Wafe wangapi ndipo tudhibiti madereva bodaboda?

YAPO mambo yanayotambulisha viwango vya maendeleo ya jamii na nchi kwa ujumla. Miongoni mwa...

Bidhaa ‘feki’ zadidimiza Watanzania lindi la umasikini

Watanzania wanazidi kunasa katika mzunguko wa umasikini unaosababishwa na kushamiri kwa bidhaa duni na...

Rwanda, Uganda, M23 watia kiza Jumuiya Afrika Mashariki

TUPO mwezi wa pili tu wa mwaka 2025, lakini kuna kila dalili kwamba unakwenda...

Chadema na uwazi, CCM na ‘ambush’

JANUARI 2025 ni mwezi utakaoacha kumbukumbu kubwa ya kihistoria katika siasa za Tanzania. Matukio...

CCM imefanya mapinduzi baridi Dodoma

KWA miaka mingi sasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na utaratibu ambao unajulikana wazi...

Utekaji huu sasa yatosha!

MWISHONI mwa wiki kulikuwa na taharuki kubwa kwenye mitandao ya kijamii kufuatia taarifa za...

Latest articles

Taifa Stars ya Gamondi amrejesha Kelvin John

Na Mwandishi Wetu Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars Miguel Gamondi amemrudisha...

‘Hali ya huduma ya maji Dar, Pwani ni shwari’

Na Mwandishi Wetu WAKAZI mbalimbali wa Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa...

Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni halali

Na Mwandishi wetu MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema kuwa, Uchaguzi Mkuu wa...

Viongozi wa dini waendelea kihimiza amani uchaguzi mkuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam VIONGOZI wa dini nchini wameendelea kuhimiza umuhimu wa kudumisha...