Na Winfrida Mtoi
Chama Cha ACT Wazalendo kimegoma kupokea gari la Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), kikidai kuwa kinazo rasilimali za kutosha za kuwawezesha kuzunguka nchi nzima kwa ajili ya kampeni.
Hayo yamejitokeza leo Septemba 13, 2025 wakati Mgombea wa Urais wa ACT, Luhaga Mpina na...
Na Winfrida Mtoi
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imemteua rasmi Luhaga Mpina kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Mpina ameteuliwa pamoja na mgombea mwenza wake, Fatma Abdulhabib ...