Na Mwandishi Wetu
MWENYEKITI Bodi ya Ushauri ya Wizara kwa TMDA (MAB), Eric Shitindi amekutana na wasimamizi wa sheria mbalimbali katika kituo cha Mpaka cha Mutukula, Kagera tarehe 29 Januari, 2026 na kuteta kuhusu masuala ya udhibiti wa bidhaa za dawa na vifaa tiba...