ALHAMISI iliyopita yaani Desemba 5, mwaka huu wa 2024 lilitokea tukio baya la kuhuzunisha la wananchi kushambulia watu wanaodaiwa kuwa ni wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ambao walikuwa kwenye msako eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam.
Katika tukio hilo la kusikitisha, inadaiwa...
Na Mwandishi Wetu
Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo La Ufaransa (AFD) wamesaini mikataba minne (4) yenye jumla ya euro milioni 118.8 sawa na Sh bilioni 323.4 kwa ajili kutekeleza miradi mbalimbali nchini ikiwemo Awamu ya Pili ya mradi wa nishati jua wa Kishapu...