Na Mwandishi Wetu
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wanawake Kata ya Gongolamboto Neema Mchau amechukua fomu ya kugombea Udiwani Viti Maalumu Manispaa ya Ilala.
Mchau amekabidhiwa fomu hiyo leo Julai 1,2025 na Katibu Umoja wa Wanawake (UWT) wilaya ya Ilala Rosemary Mwakisalu Ofisini kwake Ilala Dar es...
Na Mwandishi Wetu
ALIYEKUWA Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM Tawi la Chuo Cha Kodi na Mjumbe wa Seneti ya Mkoa wa Dar es Salaam Mwaka 2021/2022, amechukua na kurudisha fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki.
Amanzi ameingia rasmi kugombea...