Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetoa ratiba ya shughuli kuelekea mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni mkoani Dar es salaam na Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani WHO Kanda ya Afrika Dkt Faustine Ndugulile.
Dkt. Ndugulile alifariki dunia usiku wa kuamkia Novemba...
JANA Jumatano Novemba 27, 2024 Watanzania walipiga kura kuchagua viongozi wao wa serikali za mitaa. Hawa ni wenyeviti wa vijijini na vitongozi kwenye maeneo ya vijijini na wenyeviti wa mitaa kwa maeneo ya mijini.
Uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu wa 2024 ingawa...