Na Mwandishi Wetu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 12, wakiwemo mahabusu saba na askari polisi watano, vilivyotokea leo katika Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida, baada ya ajali iliyohusisha gari la...
Na Tatu Mohamed
MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeweka mkakati wa kuongeza idadi ya wanachama wachangiaji kutoka 2,144,906 waliopo Juni 2026 hadi 6,609,403 ifikapo mwaka 2030/31, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Nane wa Mfuko.
Aidha, NSSF inalenga kuongeza thamani...