Siyo hulka yangu kujadili masuala ya dini katika chambuzi ninazofanya. Wala, sikusudii kujikita kuibua mijadala ya kiimani katika maandishi yangu, siyo leo wala siku za usoni. Ila leo itoshe tu kusema kwamba wakati tumeufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026, kama taifa...
Na Mwandishi Wetu
BENKI ya CRDB, imemkabidhi Deo Ferdinand Mlawa na wenzake watano zawadi wazojishindia katika droo kubwa ya kampeni kubwa inayohamasisha matumizi ya huduma za benki kupitia simu ya mkononi kwa mwaka 2025.
Mlawa wa Mikocheni jijini Dar es Salaam alitangazwa mshindi wa jumla...