UKATILI uliofanywa na baadhi ya askari polisi dhidi ya raia waliokuwa wanakwenda kusikiliza kesi ya jinai inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, Jumatatu ya wiki hii Septemba 15, 2025 jijini Dar es Salaam, unatukumbusha kutupia tena macho ripoti ya Tume ya Haki Jinai ambayo...
Na Mwandishi Wetu
Inakaribia miaka 10 tangu usafiri wa mabasi ya haraka maarufu kama Mwendokasi ulianza rasmi kufanya kazi katika Jiji la Dar es Salaam kwa safari za Kariakoo, Kivukoni, Morocco, Kimara, kisha Mbezi – Kibaha.
Usafiri huo ulitarajiwa kuwa mkombozi wa wananchi wengi wanaotumia njia...