Na Mwandishi Wetu
WAKAZI takribani 1,500 wa Vijiji vya Lupunga, Videte na Kwa Mkino, Katika Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani, wameanza kupata huduma ya majisafi baada ya kukosekana kwa huduma hiyo kwa kipindi cha miaka miwili, iliyosababishwa na kuharibika kwa pampu katika kituo...
Na Tatu Mohamed
SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limeongeza mapato yake ya ndani kutoka Sh bilioni 1.3 mwaka 2018/19 hadi Sh bilioni 147.8 mwaka 2025/26, mafanikio yanayotajwa kuchangiwa na mageuzi ya kiutendaji, uwekezaji katika miradi ya kimkakati na kuimarisha ushiriki wa Watanzania katika sekta...