KAMA kuna tume ya uchunguzi iliyopata kuundwa nchini kwa jambo mahususi, ikajikuta katika uwanja usio na mipaka, Tume ya Kuchunguza Vurugu za Oktoba 29, 2025 haiwezi kukosekana kwenye orodha hiyo.
Tume hiyo inayoongozwa na Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohamed Chande Othman iliundwa Novemba 18,...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa vurugu zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 zilikuwa na viashiria vya kupindua dola, hivyo akatetea hatua zilizochukuliwa na vyombo vya dola kukabiliana na maandamano na vurugu, matukio ambayo...