Na Mwandishi Wetu, Pwani
OFISI ya Msajili wa Hazina (OMH), kwa kushirikiana na Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), imeendesha mafunzo ya siku nne kwa watumishi wapya 20 walioajiriwa katika ofisi hiyo, kwa lengo la kuwajengea uwezo maalumu wa kiutendaji katika utumishi wa umma.
Mafunzo...
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imezindua Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme cha Mtera (2x10MVA, 220/33kV) ambacho kitaongeza ubora wa umeme, kupunguza changamoto ya umeme mdogo na kuboresha huduma za kijamii, afya, elimu, maji na mawasiliano katika mikoa ya...