Na Mwandishi Wetu
MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini, Mkoani Lindi, Selemani Bungara maarufu Bwege amefariki leo mchana Machi 30,2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya binafsi iliyopo Kigamboni Jijini Dar es salaam,Kaka wa marehemu aitwaye Abbas Bungara amesema Bwege alifikishwa Hospitalini hapo...
Na Mwandishi Wetu
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere imeanika mapungufu katika mchakato wa ununuzi na ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu jijini Arusha, unaojengwa kwa ajili ya mashindano ya fainali za Mataifa Afrika (AFCON).
Kwa mujibu wa...