Bwege afariki dunia

Na Mwandishi Wetu

MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini, Mkoani Lindi, Selemani Bungara maarufu Bwege amefariki  leo mchana Machi 30,2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya binafsi iliyopo Kigamboni Jijini Dar es salaam,

Kaka wa marehemu aitwaye Abbas Bungara amesema Bwege alifikishwa Hospitalini hapo kwa ajili ya kuendelea na matibabu  na ndipo umauti ulivyomfika.

“Kwa sasa mipango ya mazishi inaendelea na taarifa zaidi zitatolewa hapo baadaye ila msiba kwa sasa upo kwangu mimi Kaka yake maeneo ya Temeke,” amesema.

Bwege amewahi kuwa Mwanachama wa CUF, ACT Wazalendo, hivi karibuni amekuwa akionekana kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu makahamani.

spot_img

Latest articles

Muswada wa Sheria ya Uwekezaji wa Umma kukamilika 2026/27

Na Mwandishi wetu KATIKA kuendelea kuimarisha uwekezaji wa umma, Serikali imepanga kukamilisha Muswada wa...

Kocha Bilo afariki dunia

Na Mwandishi Wetu MMILIKI wa Kituo cha Soka cha Bilo Jijini Mwanza, Kocha Athuman Bilal...

Tukatae kunyweshwa sumu hii

“Kama taifa letu lilipata kuwa na bahati ni kuwa na Rais aliyechukia rushwa kama...

Chipukizi wa kuogelea kushindana ‘ East Africa Development Swimming Gala’

Na Mwandishi Wetu ZAIDI ya waogeleji 600 wanatarajiwa kushiriki katika mashindano ya kuogelea ya chipukizi...

More like this