Sangweni: Sekta ya Mafuta na Gesi Ni Chachu ya Ukuaji wa Uchumi wa Taifa

Na Mwandishi Wetu

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Mhandisi Charles Sangweni, akishiriki katika Kongamano la Siku ya Nishati (Energy Day) linaloendelea katika Ukumbi wa Mwandoro, Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere – Sabasaba, jijini Dar es Salaam.

Mhandisi Sangweni ameeleza kuhusu nafasi ya sekta ya mafuta na gesi asilia katika kuchangia maendeleo ya uchumi wa Taifa, pamoja na umuhimu wa usimamizi na udhibiti wa shughuli za mkondo wa juu wa petroli.

Amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuvutia uwekezaji, kuimarisha ushirikiano na wadau mbalimbali pamoja na kutumia fursa zilizopo katika sekta ya mafuta na gesi kwa manufaa ya Taifa.

Kongamano hilo limewakutanisha viongozi, wataalam, wawekezaji, washirika wa maendeleo na wadau wengine wa sekta ya nishati kujadili mwelekeo wa sekta, fursa za uwekezaji, ubunifu na teknolojia kwa maendeleo ya Tanzania.

spot_img

Latest articles

VETA Kihonda yaja ‘cold room’ kupunguza upotevu wa mazao ya wakulima

Na Mwandishi Wetu UBUNIFU wa mfumo jumuishi wa kuhifadhi mazao kwa kutumia teknolojia ya ubaridi...

Ofisi ya Msajili wa Hazina yalenga kukusanya Sh2 trilioni mwaka 2026/27

Na Mwandishi Wetu OFISI ya Msajili wa Hazina (OTR) imejiwekea lengo la kukusanya Sh2...

MAULIDI KITENGE AUNGANA NA TANESCO KUHAMASISHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA UMEME

📌 Aahidi kutumia jukwaa lake kuhamasisha wananchi kutumia umeme kwa shughuli za kupikia 📌 Ushirikiano...

COASCO: Ukaguzi wa vyama vya ushirika waongeza uwazi na kuimarisha imani ya wanachama

Na Tatu Mohamed Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) limesema ukaguzi...

More like this