Na Mwandishi Wetu
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche na viongozi wengine wa chama hicho wameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi jioni ya leo jumatatu Novemba 10, 2025.
Heche ameachiwa pamoja na viongozi wengine wa chama hicho akiwemo Naibu Katibu...
Na Mwandishi Wetu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi Baraza la 11 la Wawakilishi Zanzibar, huku akitoa mwelekeo wa Serikali katika kipindi cha pili cha utawala wake, akisisitiza dhamira ya kuendeleza maendeleo ya kijamii na kiuchumi...