📌Waziri Ndejembi asema ni tukio la kihistoria litakaloshuhudiwa na watanzania pamoja na wageni
📌Asema mradi wa JNHPP ni matokeo ya uwekezaji wa sh.trilioni 7.4; Fedha za Watanzania
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amesema kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Mheshimiwa Jaji Mshibe Ali Bakari, amezitaka sekta zote nchini kutumia ipasavyo taarifa za hali ya hewa katika kufanya maandalizi ya kisekta ya kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na uwepo wa...
Na Mwandishi Wetu
Nyota mpya wa Yanga, Albert Kangwanda amewapa raha mashabiki wa timu hiyo baada ya kufunga bao lilowapa Waanchi hao taji la Ngao ya Jamii mbele ya watani wao wa jadi Simba kwa ushindi wa 1-0 kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar.
Yanga...