Na Mwandishi Wetu
MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally ametoa rai dhidi ya vitendo vya kueneza chuki za kidini kupitia mitandao ya kijamii, akiwataka waumini wa dini ya Kiislamu na Watanzania kwa ujumla kupuuza watu wanaochochea migogoro ya kidini.
Ametoa rai...
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima amelipongeza Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kwa kuandaa kongamano la wanawake wa Shirika hilo la kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ya umeme.
Gwajima ametoa pongezi hizo leo Machi 04,...