Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema Tanzania kwa sasa ina umeme wa kutosha na hivyo ukamilifu wa Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere umeondoa kabisa mgao wa umeme nchini.
Ndejembi ameyasema hayo leo Novemba 26, 2025 wakati wa ziara yake katika...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi limesema limeona na linafanyia uchunguzi taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha imetolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Chunya (OCD), mkoani Mbeya kwa waandishi wa habari kama ushauri kwa wamiliki wa vituo vya mafuta wilayani humo.
Taarifa kwa Umma...