Na Tatu Mohamed
KUELEKEA maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayoadhimishwa kila mwaka Machi 8, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 40 kwa ajili ya kusaidia utoaji wa huduma za afya katika hospitali za Mkoa wa Dar es...
Na Tatu Mohamed
KATIKA kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Makangarawe wameungana na viongozi wa eneo hilo kutoa msaada kwa watoto wenye mahitaji maalum katika Shule ya Msingi Yombo Dovya, wilayani Temeke jijini Dar es Salaam.
Msaada huo umetolewa...