Media Brains

NEMC yatoa elimu kwa umma kuelekea kilele cha Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri

Na Tatu Mohamed BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeanza kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa usimamizi sahihi wa taka, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri yanayotarajiwa kufanyika Machi 30...

Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewaaga vijana 521 waliopata fursa za ajira nje ya nchi, hatua inayotajwa kuwa ni muendelezo wa juhudi za makusudi za kupanua wigo wa ajira kwa vijana na kuwajengea uwezo wa kushiriki katika uchumi wa kimataifa. Akizungumza katika hafla ya kuwaaga vijana hao...
spot_img

Keep exploring

Singida BS yamuanika Patrick Aussems

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Singida Black Stars imemshauri aliyekuwa kocha wa timu hiyo Patrick...

Profesa Mkenda azindua bodi ya TAEC, aitaka kusimamia ufadhili wa Samia Scholarship Extended Program 

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amezindua bodi...

Nchimbi awaonya wanaonza kufanya kampeni

Na Mwandishi Wetu KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John...

Rais Mwinyi: SMZ kutoa huduma za afya katika Visiwa vidogo vidogo

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali...

Kamati ya PIC yaona tija uwekezaji kiwanda cha uzalishaji bidhaa za ngozi

Na Mwandishi Wetu KAMATI ya Bunge ya Uwekezaji na mitaji ya Umma (PIC) imepongeza...

Serikali yaandaa mkakati kuongeza uzalishaji wa ngano nchini

Na Mwandishi Wetu SERIKALI kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA),...

DCEA yateketeza ekari 336 za mashamba ya bangi Dodoma

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa...

Waziri Mkuu akutana na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini

Na Mwandishi Wetu WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Februari 18, 2025 amefanya mazungumzo na...

EKARI 336 ZA BANGI ZATEKETEZWA KONDOA

Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana...

WASIRA AZUNGUMZA NA BALOZI WA KOREA

Na Mwandishi Wetu Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amefanya mazungumzo na Balozi wa...

Muhimbili yawaruhusu pacha Hassan na Hussein kurudi nyumbani baada ya upasuaji wa kuwatenganisha nchini Saudi Arabia

Na Mwandishi Wetu WATOTO pacha Hassan na Hussein Jummane (3) wakazi wa Igunga mkoani...

Biteko aipongeza Ewura kuleta utulivu kwenye nishati

Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko,...

Latest articles

NEMC yatoa elimu kwa umma kuelekea kilele cha Siku ya Kimataifa ya Taka Sifuri

Na Tatu Mohamed BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeanza kutoa...

Vijana 521 waondoka kwa ajira nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewaaga vijana 521 waliopata fursa za ajira nje ya nchi, hatua...

Naibu Waziri wa Nishati akabidhi vitendea kazi Kwa Tanesco Mkoa wa Shinyanga

📌Ni katika muendelezo wa mkakati wa shirika wa kuwahudumia wananchi kwa ufanisi 📌Awasihi wananchi kutumia...

Matendo ya Polisi ni hujuma dhidi ya utawala bora, demokrasia

MFUMO wa uchumi wa soko huru una kanuni zake. Miongoni mwake ni kuruhusu ushindani....