Na Mwandishi Wetu
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amefanya mazungumzo na Balozi wa Korea nchini, Eunju Ahn katika
ofisi ndogo ya makao makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamebadilishana mawazo katika namna mbalimbali yanayohusu ushirikiano wa nchi ya Tanzania na Korea.