Media Brains

Ndejembi ataka Ewura kukagua maghala ya mafuta kuhakikisha hakuna mafuta yanayofichwa

📌Asema nchi ina usalama mkubwa wa mafuta hivyo wananchi waendelee kupata huduma muda wote 📌Timu maalum kuundwa kufuatilia uingizaji wa mafuta nchini Na Mwandishi wetu WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kuhakikisha kuwa, hakuna mfanyabiashara anayeficha...

Tanesco yagusa mioyo ya watoto wenye mahitaji maalum

📌Ni sehemu ya uwajibikaji wake kwa jamii 📌Yatoa misaada mbalimbali kwa vituo vitatu Dar es Salaam KATIKA kuendeleza dhamira ya uwajibikaji kwa jamii, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), tarehe 19 Machi 2026, lilifanya ziara ya kutembelea vituo vitatu vya watoto wenye mahitaji maalum jijini Dar...
spot_img

Keep exploring

Rostam Azizi  aishauri  serikali,wafanyabiashara  kuwekeza katika Digital Media

Na Mwandishi Wetu Mfanyabiashara na mwekezaji  Rostam Azizi,  amesema  kuna haja ya serikali na wafanyabiashara wenzake kufikiria kujikita  zaidi...

Rostam Azizi aeleza jinsi alivyoshirikisha wadau kuunda mfumo imara wa vyombo binafsi vya habari

Na Mwandishi Wetu Mfanyabiasha   Rostam Azizi ameeleza  mbinu waliyotumia kuhakikisha tasnia ya habari inaimarika nchini...

Wachezaji wawili Yanga wageukia masumbwi, kuzichapa Julai 26 Dar

Na Winfrida Mtoi Wachezaji wa Yanga, Kibwana Shomari na Denis Nkane wamajitosa kwenye mchezo wa...

Watendaji Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 wafundwa

Na Mwandishi wetu TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewaasa watendaji wa uchaguzi...

Prof. Kabudi: Anayefanya kazi bila ‘Press Card’ anavunja Sheria

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi amesema...

CHELSEA BINGWA WA FIFA CWC 2025

Timu ya Chelsea imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la Klabu kwa kuchapa...

Humphrey Polepole ajiuzulu

Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubalozi na...

Nandy ahamasika kutangaza Nembo ya Made in Tanzania Kimataifa

Na Tatu Mohamed MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Faustina Mfinanga (Nandy), amesema elimu aliyoipata...

Ndumbaro: Sheria 300 Zimetafsiriwa kwa Kiswahili Ili Kuimarisha Uelewa kwa Wananchi

Na Tatu Mohamed WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, amesema kuwa hadi...

Jessica: CCM inajali uongozi wa vijana

Na Mwandishi Wetu KATIBU wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM TAIFA, Jessica Mshama...

Waziri Aweso: Tuna uhakika wa maji ya kutosha Dar na Pwani

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amewatoa hofu wakazi wa mikoa ya...

Jinsi TMDA inavyopambana na janga la matumizi ya Dawa Kiholela nchini

Na Tatu Mohamed MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) ni taasisi ya serikali iliyo...

Latest articles

Ndejembi ataka Ewura kukagua maghala ya mafuta kuhakikisha hakuna mafuta yanayofichwa

📌Asema nchi ina usalama mkubwa wa mafuta hivyo wananchi waendelee kupata huduma muda wote 📌Timu...

Tanesco yagusa mioyo ya watoto wenye mahitaji maalum

📌Ni sehemu ya uwajibikaji wake kwa jamii 📌Yatoa misaada mbalimbali kwa vituo vitatu Dar...

 ‘Umimi’ wa viongozi unaua Jumuiya Afrika Mashariki

KATIKATI ya miaka ya 90 wakati mfumo wa vyama vingi unaota mizizi, lilitokea wazo...

Wanafunzi watatu wafariki dunia baada ya kupigwa na radi Dar

Na Mwandishi wetu WANAFUNZI watatu wa Shule ya Msingi Msongola iliyopo eneo la Msongola,...